Google tag

vendredi 3 décembre 2021

100th game for Bruno Fernandez

100th game for Manchester United


44 goals, 34 assists — Since his debut, he has been directly involved in more goals [78] in all competitions than any other Premier League player.

Bruno Bruno Bruno 🎶

#SG

Idadi ya Point zilivyokuwa huko Ballon d'Or France football

Idadi ya kura walizozipata wachezaji waliomaliza kwenye orodha ya wachezaji bora 10 kwa tuzo za Ballon d'Or.



Wachezaji 10 bora kwenye tuzo za Ballon D'or mwaka huu na alama walizopata.

1. Lionel Messi - 613
2. Robert Lewandowski- 580
3.Jorginho -460
4. Karim Benzema -239
5. N'golo Kante -186
6. Cristiano Ronaldo -178
7. Mo Salah -121
8. Kevin De Bruyne -73
9. Kylian Mbappe -58
10. Gianluigi Donnarumma -36



Lionel Messi in 2021:
🏟 56 games
⚽️ 41 goals
🅰️ 17 assists
🏆 Copa Del Rey
🏆 Copa America
🇪🇸 Top scorer of La Liga
🇦🇷 Best player in the Copa America
🔥 Top scorer/assists at Copa América

FIFA Arab Cup

Mashindano ya FIFA ARAB CUP  yanayohusisha nchi zenye asili ya kiarabu tu yanaendelea kutimua vumbi nchini Qatar hadi December 18 2012 nchini.


Bingwa wa michuano hiyo atapata zawadi ya USD milioni 5 (Tsh Bilioni 11.5) wa pili USD milioni 3 (Tsh Bilioni 6.9), wa tatu USD milioni 2 (Tsh Bilioni 4.6).

Micheal Carick kuiaga Man U

Michael Carrick amekamilisha utumishi wake Wa zaidi ya miaka 16 katika klabu ya Manchester United na sasa ameamua kuondoka katika klabu hiyo Dakika chache baada ya Manchester United kuibuka na ushindi Wa bao 3-2 dhidi ya Arsenal.


 
Carrick ndiye aliyeachiwa timu baada ya Ole Kuondoka na ameiongoza United katika michezo mitatu akishinda michezo miwili na kutoka sare mmoja.
 
United sasa itakua chini ya kocha mpya Wa muda Ralf Rangnick ambaye ataanza kazi rasmi dhidi ya Crystal Palace Jumapili.

Baada ya kudumu miaka 15 ndani ya Manchester United akiwa kama mchezaji na kocha, hatimaye Michael Carrick anaondoka klabuni hapo.

✅ Amefuzu hatua ya 16 bora ya Uefa Champions League msimu huu

✅ Ametoa sare na Vinara wa EPL, Chelsea

✅ Anawapiga Arsenal mabao 3-2 na kufanya timu ishinde dhidi ya washika bunduki kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2019. Ambapo walicheza michezo 6 na kugawa mara3, ila jana kai adhibu na kunyakuwa sifa tele

Mechi tatu za historia akiwa kama kocha